Idara ya Huduma za Uhamiaji inasema kulikuwa na wakazi wa kigeni wapatao 4,125,000 nchini humo kufikia mwisho wa mwezi Desemba mwaka 2025. Idadi hiyo imeongezeka kwa wakazi wa kigeni 356,000 kutoka ...
Mwezi mmoja umepita tangu Marekani na Israeli zianze mashambulizi yao dhidi ya Iran na sasa Kamandi Kuu ya Marekani inasema malengo zaidi ya 11,000 ya kijeshi yamepigwa nchini humo.
DAR ES SALAAM: Serikali imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo mafuta yaliyopo yanatosheleza kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu. Hayo ...
Baraza la usalama la umoja wa mataifa lataka kufunguliwa upya kwa viwanja vya ndege kwenye miji ya Goma na Bukavu mashariki mwa DRC, kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi waine kusema uhuru wake sio ...
DODOM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Bashiru Ally amezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi ...
"Siku ya kwanza, niliuliza 'kwa nini hakuna wanawake tena?'," anasema Hind Kabawat. Yeye ni waziri wa masuala ya kijamii na kazi wa Syria , waziri pekee mwanamke katika serikali ya mpito aliyepewa ...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Juma Mwenda amesema kwa sasa mamlaka hiyo imejipanga kutoa huduma kwa Saa 24 katika Bohari za mafuta(Depot) huku akisisitiza uwepo wa udhibiti ...
Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limemweka Reza Amiri-Moghaddam, balozi wa Iran nchini Pakistan, pamoja na raia wengine wawili wa Iran, kwenye orodha yake ya "Watu wanaotafutwa". Taarifa ...
Kampuni ya magari ya Ujerumani BMW imeanzisha kurejesha magari karibu 180,000 nchini China kutokana na kasoro inayoweza ...
Watu watano wameuawa leo nchini Ukraine kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya usiku kucha ya makombora na droni za Urusi.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results